SAUTI YA QURAN FM-logo

SAUTI YA QURAN FM

0 Favorites

Sauti Ya Quran Fm Radio ilisajiliwa rasmi chini ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) mwaka 2000, na inamilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).Radio yetu ipo kwenye makutano ya Barabara ya Lindi na Shaurimoyo, Kata ya Gerezani...

Location:

DAR ES SALAAM, Tanzania

Description:

Sauti Ya Quran Fm Radio ilisajiliwa rasmi chini ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) mwaka 2000, na inamilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).Radio yetu ipo kwenye makutano ya Barabara ya Lindi na Shaurimoyo, Kata ya Gerezani Kariakoo, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam (Jengo la Al-Haramain Islamic College).Eneo ambalo Radio yetu inafika ni katika Mkoa wa Dar es Salaam, mkoa wa Pwani, mkoa wa Tanga, Mkoa wa Lindi, mkoa wa Morogoro, na Zanzibar.

Twitter:

@wehavent

Language:

Swahili

Contact:

info@sautiyaqurafm.co.tz